Ntafurahi sana Brazil wakitolewa
mimi nitapata ucngiz mzur sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntafurahi sana Brazil wakitolewa
anza kuandaa ID nyingine nakusubiri kule jukwaa la utambulisho kukukaribisha
team ni mbovu ndio lakini leo inaenda robo fainali.#Team Brazil hawataki kukubali kuwa timu yao mbovu.!
Aisee, kwa mpira gani.?
kubalini kataeni BRAZIL WANABEBA KOMBE
Sasa Brazil yenyewe ni rafu tu...?
andybird314 unaitwa huku.Yuko wapi aliyeomba ban?
kila mtu anapenda host ashinde lakini hawajitumiNilikuwa nimeconcentrate,kiukweli nilipenda Brasil washinde,dah ila naona taa za njano zinawawakia
Hawa Chile wanataka penati, duh!