World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pole sana Gary Medel.Off with an injury.

BrPK2ERIQAAhyon.jpg:large
 
Atakaeshinda hapa,ajihesabu nusu fainal.maana robo kwake ni laini Colombia au Uruguai
 
Kocha wa Chile ni Mu-argentina lazima atakuwa na usongo wa kuwatungua Brazil tena kwao.
 
Team chile tukifungwa hapa ni mipango ya maulaana tu, ila tumecheza vizuri sana.
 
Back
Top Bottom