Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nikisema brazil bye bye ntakuwa nimekosea?
Ndiyo, utakuwa umekosea sana.
Brasil hatoki leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikisema brazil bye bye ntakuwa nimekosea?
Hata mkibana mapmb** lazima brazili atolewe leo
Haya mashambulizi ni makali mpaka nimeachia ushuzi mbele ya watoto sababu ya mihemuko..!!!
Tukitolewa leo Brazil leo nalia, ila hatoki mtu Chile lazima warudi kwao.
Brasil hatoki leo!
Nani anabisha tupinge....?
Dau dola hamsini.....
Sipingi kuhusu hili.
Brazil ya mwaka huu siamini kwenye matuta