HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?
Yaani wewe bora ulale tu maana uliataka niua leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?
Chile walikuwa wanategemea sana sana penalties ndio maana walikuwa wanarudi nyuma sana.
Extra time ndio walirudi sana nyuma
hii timu uloiandika ni kutoka bara gani?
Hahahahahahaha lol!!!! Hata mie nilikuwa natafakari hilo, ngoja tusubiri waje kujibu wenyewe lol!!!! Eti farkhina, Bantu lady na Victoire mlikuwa mnaminya nini ili Chile wakose penalties zao? lol!!!! Hii experience ya kuangalia kandanda huku umo ndani ya JF bomba sana.
Mimi hakuna nilichokiminya sema nilikuwa, situlii natembea huku narudi kule. Utafikiri mimi ndio coach wa Brasil aisee asikwambie mtu ile presha ilikuwa juu sana.
Yaani wewe bora ulale tu maana uliataka niua leo
labda kuna game nyingine alikuwa anaangalia tofauti na tuliyokuwa tunaiona wengine
Nilikuwa nakuona kwenye background ukiumia
Mimi nilikuwa naumia sana ila am Happy now
Kesho niko ndani ya nyumba gemu ya saa moja jioni, jiandae kwa presha tena chagua kabisa timu ili niwe mpinzani wako wa jadi.
kapumzike kamanda ngoja wengine tusogeze uzi kidogo hapa
Mimi hakuna nilichokiminya sema nilikuwa, situlii natembea huku narudi kule. Utafikiri mimi ndio coach wa Brasil aisee asikwambie mtu ile presha ilikuwa juu sana.
huu upinzania wa leo nimeupenda sana mpaka raha
Ha ha haa!nilikuwa nawachokoza team Chile jamani kupunguza stress,maana hii game dah!acha tu.lile besela la dk za majeruhi nusra nikate ndala zangu,bora alivyokosa penati yule jamaa!
Haina neno mkuu ntakua nawachungulieni hapa jf kila nikistuka japo nimechoka utadhani mi ndo nilikuwa uwanjani nawakimbiza waliopita kwa kudra.
Kwa nini mkuu?
Vipi kina Baloteli walishatua Rome?