Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hebu jamani fungeni hata lakutoa machozi mie nikalale
wakina nani wafunge
matokeo yakoje??
#teamcolombia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jamani fungeni hata lakutoa machozi mie nikalale
Nipo mkuu. Nachungulia chungulia siku moja moja humu
Hivi Cavan kafunga goli hata moja kwenye haya mashindano??
dogo anakuja liverpool vampaya anaondokaAtamtamani kwenye luninga hivyo hivyo tu! Hana ubavu wa kumtoa Monaco huyo dogo..
Uruguay hakuna mpira wanafanya Fujo Pengine na wao wanataka Ban FIFA!
Mkuu umesahau mara hii?Angekuwepo Suarez mechi hii Uruguay angeshinda!