Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja tujionea huenda historia ikaongeaYaani hawa ndo nawakubali this time... wakikaza Ujerumani anachapika!
Joto linawasumbuaHolland macho yanawatoka.!
Mexico wanacheza rafu za kitaalam sana!kama ile ya ruben ni penati kabisa
wamekutana na wanaume wenzao leoHawa watu leo wamekuja kulinda goli haiwezekani Vanpersie ashindwe kufunga pale hadi kutoa pasi huu ni upuuzi sana
Huko Qatar mbona watakuwa wanawekwa kwenye majokofu kabisa au watatengenezewa cold suits
Mexico wanacheza rafu za kitaalam sana!kama ile ya ruben ni penati kabisa
Hawa watu leo wamekuja kulinda goli haiwezekani Vanpersie ashindwe kufunga pale hadi kutoa pasi huu ni upuuzi sana
wamekutana na wanaume wenzao leo