World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wakuu kwa mnaocheki live hii mechi, Sasa ni dakika ngap zimebaki mpira uishe?
 
Alafu hivi vijamaa kwanza vifupi fupi,saizi ya kina leo messi,vyote kasoro kipa,mpaka vinabore..
 
​Referee kafuta penalty ya wazi kabisa kwa Holland.

Mkuu BAK, habari za masiku?

Mwamuzi ameangalia uangukaji wa Roben na ni alipoanguka mara ya pili ndio kumeondoa uwezekano wa penalty kwani ingekuwa kukwatuliwa kwa mara ya kwanza na yule beki wa kwanza, mwamuzi angetoa penalty.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Holland warudishe jamani,robo fainali bila timu za ulaya kwa upande mmoja,maana najua Grece anatoka
 
Mzee Sneijder si yupo kati na baadhi ya vijana wanaotakiwa Old Trafford? Kwangu naona linalowaumiza ni joto hawa Mexico wanavyokimbia ni kama vile ndo mpira umeanza.

Sneijder mashindano haya yupo kimya sana ... afadhali hatukumnunua kipindi kile

Lol sisi wachezji tunaosajili si unawajua, kwenye hii timu ya Holland tumebakiza mmoja wa kumchukua {Utakuja kusikia soon}

Bad News kwa #TeamHolland Chicharito kaingia, dah RVP katolewa leo?
 
Mzee Sneijder si yupo kati na baadhi ya vijana wanaotakiwa Old Trafford? Kwangu naona linalowaumiza ni joto hawa Mexico wanavyokimbia ni kama vile ndo mpira umeanza.

Hakuna cha joto wala nini! Wapigwe tu! Mbona akina Giovanni nao wametoka Ulaya juzi juzi tu?
 
LOL naona Van Magoli a.k.a glass legs kachemsha anakwepa aibu mapemaaaaaaa..
 
Back
Top Bottom