World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Timu za Europe watoe sababu zao zisio na msingi basi Final ipigwe nje ya nchi Alaska.
 
Sio timu zikubaliane,ni fifa ndio imempa refarii mamlaka hayo anapoona joto limezidi anammlaka ya kusimamisha mpira ndani ya dk 15 za kipindi cha kwanza au cha pili na ni dk 3,hata ikibidi ndani ya mechi moja wakapewa muda wa kupumzika na kunywa maji mala 2.

Ni kweli hali mbaya kule joto kali sana hadi linafika nyuzi joto 40 bila kupumzika na kunywa juis/ maji wachezaji wanaweza kufa.
 
Na hali ya hewa ambako game inachezwa kuna joto kali that's why wakapewa ule muda
 
Hii ni mapendekezo yalioyotolewa na madaktari kutokana na high temperature ya mji wanaochezea mechi hii. Pia sheria za FIFA zinaruhusu
 
Huyu Ocha goli kipa au spiderman au Octopus Paul anapangua tu kacheza sana Rede na Dada zake.
 
hii ndoo haitabiriki kabisa nani atabeba, nilikuwa nawamini hawawaungupori
 
Back
Top Bottom