World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

nyavu za mipira ya Tanzania ile inachana nyavu za uswahilini za kuvulia Samaki duh.
 
BrUL-ZOCEAEomVj.png:large


Na Pelnaty juu.
 
Slow motion nuksi beki wa Mexico anaungalia mpira unaingia nyavuni kama vile anategemea utatoka... Holland ndo haooo wanaingia robo, Kweli mpira nuksi.
 
Back
Top Bottom