World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyo jamaa anayekataga umeme atakuwa ni mtu asiyependa football

Atakuwa mtanzania mwenye asili ya Mumbai!full of cricketers,teh heh heh!lakini nilipokuwa kijijini kwetu kule mitaa ya Alykhan,Mindu,Kalenga etc utotoni hawa tulicheza nao sana cha ndimu,na ni washabiki wazuri wa soka,tena hadi ukubwani nimecheza nao soka kule shule ya Zanaki wamejaa kibao,toka Upanga,posta,kariakoo n.k na wapo wanaoujua kweli,sijui kwa nini siwaoni kwenye clubs zetu!ajabu sana.
 
TANESCO CHONDE CHONDE TUTAONANA WABAYA LEO !!!!ohoooo manake najua yule mkata umeme anasubiri mpira uanze alete ujinga wake,mmekata umeme tangu asubuhi tumevumilia jioni hii tutaonana wabaya

akikata umeme atakua katuweza
 
kila la heri The Eagles,updates zenu wakuu ni muhimu,bado niko on the road.
 
Tusitegemee Kuona Timu Yoyote Ya Africa Ikiingia Robo Fainali Hyo Nigeria Bora Ingempeleka Davido Acheze Kuliko Hao Wachezaji Wanaogoma Bila Uzalendo Wakizubaa Benzema Anachukua Golden Boot Leo

usitegemee sio kusema tusitegemee....unatusemea mbona
wengine we still have our hopes kwa Africa
 
Back
Top Bottom