World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

huyu KOLSCHIENY lazima atoe boko moja na penati moja!!!! hawa mbona tunawamudu tu.......COME ON ALNIGERIA!!!!
#TeamAfrica
 
Nigeria wanashangiliwa hatari,naona waBrazil leo wanaishangilia Nija
 
Promising start from Nigeria!Maskini yan Mungu sijui wamelipwa

wakiingia uwanjani wanasahau matatizo!!!! hata mimi enzi zangu nikiingia uwanjani hata kama sijala nasahau mziki wake hata waliokula wanachemsha!!!
 
Back
Top Bottom