Huyu Beki wa Nigeria ashukuriwe sana..
Goal line Technology: No Goal!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Beki wa Nigeria ashukuriwe sana..
jaman huyu kipa na ashukuriwe
Hakika leo ni ngangari
Nigeria leo hata wakitoka sitawalaumu, walishushwa mori na uongozi wao kula pesa zao.
Ahsante Nigeria
huyu refa anawabeba france mbona faulo za wazi hatoi kadi?
Naona Wanaija wamevaa tishirt,VICTORY SUPER EAGLES
Fikiria ndo kazi yake jamani,inauma jamani sasa itabidi awe kwenye matibabu,Matuidi kanisikitisha sana,labda ni bahati mbaya
Kipa au Beki...?
Kipa au Beki...?
Hii gemu wakipga matuta nigeria anafuzu!