World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Walishatolewa teyari hapo mmoja amvunje mguu Matuid ambaye kabebwa na refa.
 
jamani acheni kuwepo picha nyingi hapa kuna uzi la picha na video za worldcup
 
Ndiyo tulivyo MI-AFRICA!!Mpira wa kurusha Odemwengie anasababisha kona kijinga kabisa!Miafrika bana
 
Zimebaki sekunde jamaa ndio anaingia,,,hatogusa hata mpira


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Tumetolewa kwa magoli 2 kwa 0 plus posho zetu kuliwa na "tff yetu"
 
Back
Top Bottom