World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Upuuzi mwingine wa mijiviongozi ya kiafrica. So selfish, sijui tukoje tu? Sasa baada ya mgomo posho ilitoka wapi?
Sisi labda tuje 'tuumbwe upya na nchi igeuke'

Dunian kote kuna ufisadi lkn ufisadi wetu si wa maendeleo, wenzetu wanaiba kujenga,sisi tunaiba kubomoa
 
upuuzi mwingine wa mijiviongozi ya kiafrica. So selfish, sijui tukoje tu? Sasa baada ya mgomo posho ilitoka wapi?
Sisi labda tuje 'tuumbwe upya na nchi igeuke'

natamani hawa viongozi waliokula mapene wangepotea ile ndege ya malaysia.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Leo ni leo aljeria lazima walipize kisasi cha 1982 ujerumani kupanga matokeo
 
Wale wadau wa updates mjiandae kutuhudhurisha kina sisi tusio runingani
 
Back
Top Bottom