#Teamafrica tulieni leo algeria wanaweza kututoa kimasomaso!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Algeria watajutia hizi nafasi,hasa akiingizwa Klose
huu ubinafsi utawagharimu baadaegoli la wazi lile why #teamaljaeria
ni germany mkuu
Beki ya Germany inashake sana leo
Kama Germany wangekuwa wanaruhusiwa kuchagua team ya kucheza nayo round ya 16 WANGEICHAGUA hata Brazil lkn sio Algeria
Dah!zile akili za kiafrica za akina Jordan Ayew naanza kuziona tena hapa,huyu jamaa yuko impossible angle,mbele yake yuko mwenzie anaomba pasi golini,yeye anaamua kubutua ili afunge mahala pasipowezekana kufunga
Hawa Algeria ni waafrica wanaoishi ulaya karibia timu nzima wamezaliwa France hata mpira wao sio wakiafrika