World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wamejisahau, hivi jamani Afrika kabisa ndio tusiwe na timu hata moja kweli?
 
mkuu wamefanya kile ambacho watu hawakutegemea

Hii ndio timu iliyo top kwenye rank za soka africa.si ajabu wala kitimoto wanakitolea jasho kitimoto chao leo uwanjani ili wamfunge Algeria..dah tumefungwa goli la akili sana.credit kwa huyu mlaji wa kitimoto aliyetufunga.
 
Afu hawa nao kwanini wanarudia rudia goli au kisa Afrika?
 
Back
Top Bottom