World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Basi tena tujipange kwa 2018, maana hii extra time hatuna letu.
Sasa nguvu zangu zote kwenye timu yangu ya Brazil. Usiku mwema wapendwa.
 
10449464_736246036433062_3521942118313959531_n.jpg
 
asante Schurle kwa kuyafunga haya maarabu. leo lazima maarab yapande ndege ya kurudi nyumbani. sisi Germany tunashambulia kama nyuki.team Germany oyeeee!
 
hawa wanaume pamoja na mfungo bado wamefanya yale hutukujatarajia

Algeria wangepangiwa timu "vibonde" kama France, Brazil ..... sasa hivi watu tungekuwa tunazungumzia Algeria ndani ya last 8
 
Ozil nae hukl Arsenal hafanyi kitu hapa anataka funga
Ila timu za Afrika zinajisahau sana
 
Bado banaaa usikate tamaa kunaweza kukawa na matuta.

Basi tena tujipange kwa 2018, maana hii extra time hatuna letu.
Sasa nguvu zangu zote kwenye timu yangu ya Brazil. Usiku mwema wapendwa.
 
Dah kwanini yale magoli ya mwisho yasiwe yanatokea kwa timu za Afrika?
Kwanini bahati ziwe kwa hizo timu zingine zisizo za Afrika
 
asante Schurle kwa kuyafunga haya maarabu. leo lazima maarab yapande ndege ya kurudi nyumbani. tunashambulia kama nyuki.team Germany oyeeee!

Mkuu jukwaa la Sports ni "Upendo" hayo majina sio vizuri kutumia kwenye jukwaa hili

Mpira haujaishi lazima Algeria turudishe goli na tuongeze goli la ushindi.

#TeamAlgeria
 
Jamani kuna mtu anajua why Banteleb leo hachezi?Ana kadi 2 za njano au?
 
asante Schurle kwa kuyafunga haya maarabu. leo lazima maarab yapande ndege ya kurudi nyumbani. sisi Germany tunashambulia kama nyuki.team Germany oyeeee!

Tuko pamoja mkuu! Team Germany oyeeeeeeeeeeee!!
 
Back
Top Bottom