mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Zinanukia nyingi leo!
Bado mapema ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinanukia nyingi leo!
Upo wangu? Yaani mm leo niliko sijui kama ntawah,updates muhimu.
tumepigwa mapema mno
Bado mapema ufaransa wanashinda wewe
Leo mie naangalia tu
Kwa dalili hizi, kuna magoli si chini 3
Ndio ufaransa anashinda 2-1Kwa dalili hizi, kuna magoli si chini 3
Utanisaidia kuwa unahesabu huku ukitupia updates maana mimi niko mbali na runinga kwa leo.
Ndio ufaransa anashinda 2-1
Leo game hata hatuendi mbali tunamaliza mambo yote ndani ya dakika 90
Huu mpira utaisha hivi hivi,moja bila.France nawapenda sana safari hii mmejitahidi sana kwa kweli,hao wajerumani walishazoea kufika robo fainali dawa yao huwa wanatolewa nusufainali
mkuu matarajio yako ni sawa na ku-integrate a constant, najua unajua namaanisha nini.
Leo game hata hatuendi mbali tunamaliza mambo yote ndani ya dakika 90