World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mwenzenu tangu algeria watolewe nimepeteza hamu ya kuangalia mpira basi tu
 
Eti nasikia Shakira amedai kuwa atatembea uchi dk kumi katikati ya Bogota kama Colombia ikiifunga Brazil!
 
Masela wa colombia wanasubiri tu washinde ili wamuone shakira akipita mtupu kama alivo ahidi
 
Naona watu wanaongelea ubingwa kwa kuzitaja Brazil na Ujerumani tu; hivi Argentina na Uholanzi hawana nafasi kabisa? Je Belgium? Bado kumbu kumbu zipo Uholanzi ilivyoichachafya Brazil msimu uliopita au mmesahau?
 
Back
Top Bottom