Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiukweli nawaombea Brazil ichukue kombe by any means necessary!waungeunge hivo hivo mpaka mwisho
Bernad nasikia n mtu wa pili maarufu baada ya neymar brazil
Too sad kwa kutokumuona Neymar tena ila ndo wakati mzuri wa Bernard kufanya yake
Argentina wataweza kuvuka mbele ya Uholanzi ya akina RVP na Roben??
Nahisi kama tutakuwa na mtanange wa Brazil na Uholanzi!
World Cup final ikiwa Brazil VS Argentina/Netherlands itakuwa poa sana.
Yaani Argentina leo akitolewa sijui ntaliaje??,nitasikitika kuliko hata timu za Africa zilipotolewa
Neymar over rated!Goli 2 zile alizowapiga Cameroon zilikuwa rahisi mno!!Sasa kama beki ni Nkolou na Ekoto si hata ww utafunga tu jamani?Goli la 3 ni penati ya ajabu!Hakika alitakiwa awe na bao moja kwenye WC hii, lile la kusawazisha na Croatia!
Neymar wo'nt be missed at all!
Sasa akifungwa Agentina tulia wote nani atambeleza mwenzake?
Acha tu my dear,tutafarijiana hivyohivyo!!! ila mie sijui utanibeba na mbeleko gani? pole sana jana uliteseka sana wangu nilikuwa kny usukani,ila naona TATIANA na HOE walijaribu kujaziajazia.
hivyo hivyo wanaweza kupita si unajua tena mpira unadunda na ni dakika 90?
Walijaribu lakin, mwenyenacho ni mwenyenacho tu pengo lilikuwepo.
leo sijaenda kukazi, natarajia kupaki mapema iwezekanavyo baada ya mishe mbili tatu.
Ni kweli over rated sababu wanaamini ndo mkombozi wao that's why he play under pressure
I like the guy even if sometime his selfish ila huwa ana impact akiwemo uwanjani ndo maana hata faulo aliyochezewe leo ilikuwa ya kisasi na ya kitoto zaidi
He is better at all
Kaka mbuzi-katoliki ndiyo chaguo la kwanza kwangu kama naona soka mechi ngumu
Naweza nikampata pale Vingunguti?