World Cup 2026 tayari Marekani wamenichania nusu Mkeka. Kibwege sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Nlimwambia kuwa haya mashindano yatadorora sana. Watu watakosekana viwanja vitakuwa tupu sababu wamarekani si wapenzi wa mpira. Ila mpaka leo hii tayari. Nimeshamtumia Mil 1,000,000 yake

Tulisema kwa matches 10 za mwanzo zitupe mwelekeo na ambaye anaelekea kiwa sawa atanguliziwe Mil 1,000,000 yake.

Kisha 10 za mwisho ziamue pia ijulikane anaongezewa mtu au ananyang'anywa aliyopewa.

Hawa washenzi wamenichania mkeka wangu. Watu wanajaa kinoma kwenye matches. Na msisimko ni mkubwa sana. Sikutegemea ingekuwa hivi.

Tayari mil 1 yangu ishaliwa. Sitaki tena kutabiri habari za wa marekani hawaeleweki hawa jamaa.
SGCAM_20260616_230816680.jpg
SGCAM_20260616_230814409.jpg
 
View attachment 3611152View attachment 3611153
Hadi kujaa watu uwanjani nayo ipo kwenye kamari?
 
Kombe la Dunia sio la wa Marekani peke yao. Kwa taifa kama hilo linakaribisha watalii wengi sana na kutoa fursa ya watu kufanya vacations na activities mbalimbali. Lazima wajaze viwanja tu
 
Aliyesema hivyo hakuwa na Akili

League tu Yao now days inajaza mashabiki kibao Au mlikuwa hamfuatilii !?

Ukiachilia Hilo mbona USA sio mara Yao kuuandaa Hilo kombe mwaka 94 waliandaa na watu wakawa wanajazana kibao uwanjani kombe la Dunia popote litakapo kwenda haliwezi kukosa mashabiki wa kulitazama PR Yao sio kitu Cha mchezo mchezo
 
Wengi hatufuatilii... Adui tulikuwa tunamwombea njaa.
 
Marekani ndio kiwanja chadunia kila mtu anapenda kuingia state nandio wameweka record had sasa kua nawatazamaji wengi viwanjani nahuku ticket zikiwa bei ghali
 
Back
Top Bottom