World Cup Deal

World Cup Deal

walinichekesha pale walipogombania kuchukua kombe, odinga alikuwa anaona ni sawa tu kama yeye akichukua kama rais na kibaki naye ndo wa kwanza kubeba, ikabidi wote wawili walishikilie hadi mabodigadi walipokuja kuamulia...hahahaha.
 
Back
Top Bottom