World Cup Qatar 21 November, 2022 nani atabeba kombe?

World Cup Qatar 21 November, 2022 nani atabeba kombe?

Portugal.Wareno wakati walipokuwa na bahati hawakuwa bora wakachukua kombe la euro 2016.wakati walipokuwa bora hawakuwa na bahati wakatolewa na Belgium euro 2020 katika mechi ambayo walitengeneza nafasi nyingi sana.
Naamini kwa ubora wa wachezaji waliokuwa nao na ile shauku ya mchezaji kiongozi kwenye timu kumaliza vizuri Majukumu ya timu ya Taifa basi watafanya vizuri zaidi.
Brazil wakiacha utoto na ubishoo wanaweza fanya ya maana kwenye hili kombe.Africa kuna uwezekano mkubwa Morroco na Senegal wakatuwakilisha vizuri.
 
Kama Senegal wataenda na zile tochi hakika wanachukua kombe.
 
Back
Top Bottom