Mzee wa majini katetema, asingizie tena majini.Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi.
Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa.
Hadi sasa mechi zilizopo:
Guinea Bissau 0 Ethiopia 0 FT (hii ilikua mapema)
Mali 1 Ghana 1
Senegal 1 DR Congo 0
Benin 1 Rwanda 0
Egypt 2 Burkina Faso 1
Algeria 1 Guinea 2
Mechi zote zipo dk ya 80"
Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi.