Misri hayuko nyumbani acha sound mzeeImeisha hiyoo..unajua ile AFCON iliwaumiza sana waaarabu ilibidi wakae kikao kuona inakuaje wameburuzwa kiasi kile..sasa fikiria playoff marudiano wote wako nyumbani..ndio maana nikasema imeisha hiyooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misri hayuko nyumbani acha sound mzeeImeisha hiyoo..unajua ile AFCON iliwaumiza sana waaarabu ilibidi wakae kikao kuona inakuaje wameburuzwa kiasi kile..sasa fikiria playoff marudiano wote wako nyumbani..ndio maana nikasema imeisha hiyooo!
Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisiMisri hayuko nyumbani acha sound mzee
Mpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC?Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisi
Sio Nigeria hata hao waarabu piaMpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC?
Sasa inakuwaje mtoa mada anawasifia nigeria?Sio Nigeria hata hao waarabu pia