N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 26, 2022 #21 Mshuza2 said: Imeisha hiyoo..unajua ile AFCON iliwaumiza sana waaarabu ilibidi wakae kikao kuona inakuaje wameburuzwa kiasi kile..sasa fikiria playoff marudiano wote wako nyumbani..ndio maana nikasema imeisha hiyooo! Click to expand... Misri hayuko nyumbani acha sound mzee
Mshuza2 said: Imeisha hiyoo..unajua ile AFCON iliwaumiza sana waaarabu ilibidi wakae kikao kuona inakuaje wameburuzwa kiasi kile..sasa fikiria playoff marudiano wote wako nyumbani..ndio maana nikasema imeisha hiyooo! Click to expand... Misri hayuko nyumbani acha sound mzee
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Mar 26, 2022 #22 nguvu said: Misri hayuko nyumbani acha sound mzee Click to expand... Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisi
nguvu said: Misri hayuko nyumbani acha sound mzee Click to expand... Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisi
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 26, 2022 #23 Mshuza2 said: Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisi Click to expand... Mpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC?
Mshuza2 said: Nazungumzia wale wengine..hata hivyo unadhani misri watafungwa kirahisi Click to expand... Mpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Mar 26, 2022 #24 Senegal wanapita marks my words.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Mar 26, 2022 #25 nguvu said: Mpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC? Click to expand... Sio Nigeria hata hao waarabu pia
nguvu said: Mpira sio karata kusema utaficha, mkuu unaweza nitajia mafanikio ya nigeria WC? Click to expand... Sio Nigeria hata hao waarabu pia
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 26, 2022 #26 Mshuza2 said: Sio Nigeria hata hao waarabu pia Click to expand... Sasa inakuwaje mtoa mada anawasifia nigeria?
Mshuza2 said: Sio Nigeria hata hao waarabu pia Click to expand... Sasa inakuwaje mtoa mada anawasifia nigeria?