World cup star Mohammed Salah's injury is God's punishment for breaking Ramadan fast, claims Kuwaiti Preacher

Mtazamo wako wewe...kila mtu anajipima mwenyewe kwa jinsi anavyojijua mwenyewe.hapimiwi na mtu mwingine
Ndo maana si busara kumshutumu MO kwa nguzo 1 wakati ziko 5 .

Muumini anajipima mwenyewe na Mungu wake.
Nguzo ya kuhiji inasema kwa mwenye Uwezo.
 
Madrid acheni uongo mungu hawezi mtumia Ramos hata siku 1
 
pogba anaonekana bado anaushamba fulani hivi atakuwa alitokea kijijin angehama kabla hajajulikana hata midomo tu inaonesha mshamba fulani hivi
 
Wanazuoni nielewesheni, mtu akifunga Ramadhan haruhusiwi kufanya kazi?

Vv
 
Uyu Salah utadhani ni mchezaji wa kwanza kuumia hawa wehu wa Misri waacha kutusumbua basi na uyo Salah naona wale lialia wa Livapuli sasa ivi machozi yamekauka maana nao walitupigia kelele utadhani uyo Salah kavunjwa miguu nyambafuuuu.
 
You are a good Chosen generation
 
Nguzo za uislam ziko 5
Ramadhan ni moja ya nguzo hizo
Zingine 4 alikuwa anazitekeleza?
Kati ya hizo, 2 alitakiwa azitekeleze kwa muda huo/siku hiyo.

Moja ameshaitekeleza, zilizobaki utekelezaji wake haukuhitajika siku hiyo.
 
Kidini Salah alifanya makosa tena makubwa. Hakutakiwa kuacha kufunga na dhambi yake ni kubwa sana. Walioruhusika kula ni wagonjwa na wasafiri kwa maan waliopo njiani. Yeye alishafika Kiev siku tatu kabla ya mechi, kwahiyo hakua nasababu ya kisheria kuacha kufunga. Na alichokifanya kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu ni udhaifu wa imani.
Mpaka hatua aliofikia kimafanikio ni kwa msaada wa Mungu wake nasikwamnguvu zake. hivi ndivo imani ya uislamu invotufundisha, huwezi kupata chochote kwenye dunia bila ya kupewa Mungu, Kwaiyo yeye ndioe unaetakiwa umuombe kwa kila unalolihitaji.
Lakini udhaifu alionesha kwenye hatua kubwa kabisa aliofika. Ndio binaadam huwa tunakosea. Ila na wazungu walimtia sana presha ili ache kufunga.

Kwa wasiokuwa waislamu jaribuni kuheshimu Imani za wenzanu.
 
Hebu Waache Kudanganya watu...wangapi hawakufunga?
Mbona wengi tuu siku hiyo,tena siku 2 kabla,Unaweza ukaacha halafu ukaja kuzifidia....
 
Wanazuoni nielewesheni, mtu akifunga Ramadhan haruhusiwi kufanya kazi?

Vv
Kazi sio miongoni mwa vinavyobatilisha funga, ila kama hiyo kazi itakupelekea kufanya yanayobatilisha funga basi si vyema kuifanya maana utaharibu funga.

NB: Kazi sio miongoni mwa vitu/mambo yanayobatilisha funga kwa hiyo ni ruksa kuifanya ukiwa na swaumu isipokuwa ikiwa kwenye muktadha wa niliouleza hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…