Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana si busara kumshutumu MO kwa nguzo 1 wakati ziko 5 .Mtazamo wako wewe...kila mtu anajipima mwenyewe kwa jinsi anavyojijua mwenyewe.hapimiwi na mtu mwingine
Alisema lini hayo maneno?Nahisi maneno ya Mzee wa Upako yanahusika hapa.
"Huyu FALA tu"
pogba anaonekana bado anaushamba fulani hivi atakuwa alitokea kijijin angehama kabla hajajulikana hata midomo tu inaonesha mshamba fulani hiviImani ina nguvu sana, na watu maarufu wana uwezo wa kuishawishi jamii kwa haraka sana kupitia IMANI.
Kumbuka PAUL POGBA alivyokuwa anapondwa na hawa watu, lakini alipobadili dini sasa hivi ANASIFIWA na hao hao na utakuta wanaamua kushabikia timu anayochezea.
Binafsi, nilimpenda RICARDO KAKA kutokana na haiba yake iliyochagizwa na ULOKOLE wake japokuwa sikuwa shabiki wa AC Milan au Real Madrid.
Kila alipofunga goli au kushinda taji alionyesha fulana au ishara juu ya IMANI yake, hivyo kuimpact ushawishi kwa vijana wa KIKRISTO, the same kwa anachofanya Salah kwenye imani yake.
Ndio mambo ya IMANI hayo.
Teh! Ndo maisha aliyojichagulia kuishi.pogba anaonekana bado anaushamba fulani hivi atakuwa alitokea kijijin angehama kabla hajajulikana hata midomo tu inaonesha mshamba fulani hivi
4 ni ZakkaNguzo ya 4 na ya 5 siyo lazima ila kama hali itakuruhusu ndiyo unaweza kuyafanya.....Mfungo wa Ramadhan na Kwenda kuhiji Macca
Yeye hajamuona Saidou Mane kuwa ni Muislam, ila Salah kwa kuwa kaumia basi ndiye Muslamu. Hata Ziddane na Benzema nasikia ni Waislamu na walikuwepo uwanjani.Hilo jamaa la kuwait ni linafiki tu
Yule mlevi wa Konyagi?Nahisi maneno ya Mzee wa Upako yanahusika hapa.
"Huyu FALA tu"
You are a good Chosen generationImani ina nguvu sana, na watu maarufu wana uwezo wa kuishawishi jamii kwa haraka sana kupitia IMANI.
Kumbuka PAUL POGBA alivyokuwa anapondwa na hawa watu, lakini alipobadili dini sasa hivi ANASIFIWA na hao hao na utakuta wanaamua kushabikia timu anayochezea.
Binafsi, nilimpenda RICARDO KAKA kutokana na haiba yake iliyochagizwa na ULOKOLE wake japokuwa sikuwa shabiki wa AC Milan au Real Madrid.
Kila alipofunga goli au kushinda taji alionyesha fulana au ishara juu ya IMANI yake, hivyo kuimpact ushawishi kwa vijana wa KIKRISTO, the same kwa anachofanya Salah kwenye imani yake.
Ndio mambo ya IMANI hayo.
Kati ya hizo, 2 alitakiwa azitekeleze kwa muda huo/siku hiyo.Nguzo za uislam ziko 5
Ramadhan ni moja ya nguzo hizo
Zingine 4 alikuwa anazitekeleza?
Wanazuoni nielewesheni, mtu akifunga Ramadhan haruhusiwi kufanya kazi?
Vv
Kazi sio miongoni mwa vinavyobatilisha funga, ila kama hiyo kazi itakupelekea kufanya yanayobatilisha funga basi si vyema kuifanya maana utaharibu funga.Wanazuoni nielewesheni, mtu akifunga Ramadhan haruhusiwi kufanya kazi?
Vv