World cup star Mohammed Salah's injury is God's punishment for breaking Ramadan fast, claims Kuwaiti Preacher

Ila Mo sala alipokuwa anahojiwa alisema kuwa hatovunja funga yake.
Kwa hio alifunga kama kawaida.
Sasa huyo mkuwait kajuaje kuwa jamaa hajafunga?
 
so sikuile ilikua vita ya nabii na mtume...

CHRIST....VS ......MOH..
 
Ila Mo sala alipokuwa anahojiwa alisema kuwa hatovunja funga yake.
Kwa hio alifunga kama kawaida.
Sasa huyo mkuwait kajuaje kuwa jamaa hajafunga?

hajufunga mku, madokta wa Liverpool walithibitisha kama hatofunga. na si siku ya mechi tu pamoja na siku 2 nyuma.

Nikweli mwanzo alikua na msimamo huo lakini Walimpressure sana mpaka akaachia.
 
Acha wivu mkuu. Kwamba Salah anasifiwa na waislam tuu? Mashabiki wa Liverpool na wapenda soka wote ni waislam? Hii akili uliyotumia kuandika comment kama hii ni uharo mtupu.

Chuki binafsi za kimanchester united hizo zimekujaa. Mo Salah tunampenda hata sisi wapagani. Acha wivu wa kike
 
Nimefuatilia post humu yani Udini udini tu..salah anachukiwa sababu ni mwarabu/muislamu.
Huo ni mtazamo wako wa kijinga na nobody hate him sababu ya dini na anayefanya hvyo ni mbumbumbu na kwa mwanamichezo yeyote mwenye utimamu awezi weka udini katika michezo..
 
Kati ya hizo, 2 alitakiwa azitekeleze kwa muda huo/siku hiyo.

Moja ameshaitekeleza, zilizobaki utekelezaji wake haukuhitajika siku hiyo.
Shutuma za kibinadamu kwann? Zimekazania kwenye nguzo hii zaidi ya zingine.?
 
Shutuma za kibinadamu kwann?
Huwezi kujua yaliyomo mioyoni mwa watu
Zimekazania kwenye nguzo hii zaidi ya zingine.?
Kwa sababu hii inatakiwa itekeleze kwa sasa, japo na swala nayo inatakiwa itekelezwe lakini haijakazaniwa kama hii.

Mimi binafsi siwezi kumhukumu maana huo sio wajibu wangu wala wajibu wa binadamu yeyote, nawashangaa hawa wanaoleta hukumu juu ya hili jambo ilihali hawana uwezo huo
 
Upuuzi mwingine wa Dini,yaani huyo shekh anataka kutuaminisha kwamba mwiislam pekee ambaye alikuwa hafungi ni huyo Mchezaji mpira,?
 
Huko aliko atakua anatoa chafya sana, sio kwa kutajwa-tajwa tena!
 
hivi umeielewa hiyo message au unalopoka tuu kweli vilaza hawaishi kila leo
 
Huyu Mungu anayemuadhibu mtu kisa kala huyo ni shetani tu.
 
Nashukuru Mungu, Mwafrika mwenzetu baada ya few weeks atakuwa katika hali nzuri kabisa, Mungu zibariki egypt and morocco..aaameena.
 
huyu mungu ambaye anatoa adhabu kwa kula ni kilaza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabillahi tawfiq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…