Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Huo ni mtazamo wako wa kijinga na nobody hate him sababu ya dini na anayefanya hvyo ni mbumbumbu na kwa mwanamichezo yeyote mwenye utimamu awezi weka udini katika michezo..
Shida sana. Hakuna kitu kibaya kama kukosa elimu,uelewa na akili. Mo salah ni mchezaji wa mpira wa miguu... asionekane ni mchezaji wa kiislam hapo tunakosa kutumia akili kabisa. Mimi kuna wachezaji nawapenda na dini zao hazinihusu. Siwezi shabikia team sababu mchezaj ni wa dini yangu.
pogba anaonekana bado anaushamba fulani hivi atakuwa alitokea kijijin angehama kabla hajajulikana hata midomo tu inaonesha mshamba fulani hivi