World cup star Mohammed Salah's injury is God's punishment for breaking Ramadan fast, claims Kuwaiti Preacher

World cup star Mohammed Salah's injury is God's punishment for breaking Ramadan fast, claims Kuwaiti Preacher

Huo ni mtazamo wako wa kijinga na nobody hate him sababu ya dini na anayefanya hvyo ni mbumbumbu na kwa mwanamichezo yeyote mwenye utimamu awezi weka udini katika michezo..

Hapa sikuja kubishana. Nilichokisema kina ukweli %kubwa..just think!
 
Shida sana. Hakuna kitu kibaya kama kukosa elimu,uelewa na akili. Mo salah ni mchezaji wa mpira wa miguu... asionekane ni mchezaji wa kiislam hapo tunakosa kutumia akili kabisa. Mimi kuna wachezaji nawapenda na dini zao hazinihusu. Siwezi shabikia team sababu mchezaj ni wa dini yangu.
 
Kwani kuna mtu hapa anashabikia tim kwa sababu mchezaji ni dini flani!!
 
Huyu preacher amejuaje kama hiyo ni adhabu kutoka kwa Mungu? Aiache kazi ya Mungu ibaki kwa Mungu. Mbona hawaambii waarabu wa huko waache unafiqi? Sheria ya Dini ya kiislam kuhusu funga imempa fursa msafiri kutofunga na wameweka aina ya safari inayomlazimu mtu kutofunga kwa kuangalia umbali wa mahala husika. Kama hiyo imethibiti juu ya Salaah basi imethibiti juu yake.

Na salaah alipohojiwa kabla ya match alisema kwamba atafunga vivyo hivyo wala hatofungulia.
 
pogba anaonekana bado anaushamba fulani hivi atakuwa alitokea kijijin angehama kabla hajajulikana hata midomo tu inaonesha mshamba fulani hivi

Ila kweli ukimuangalia mdomo, macho na hata kichwa upande ni kama wale washamba wanaotokea kijijini 😀😀😀
 
Back
Top Bottom