Kenyans are not that lazy and they know how to make money and how to use it.
Can you use stones to buy food?
For the things of this world cannot be made known without a knowledge of mathematics.
Opus Majus part 4 Distinctia Prima cap 1, 1267
Na hata huko maashambani sio kila mtu ni mkulima.
Anyway kuhusu hio sentensi yako ya "Things are very different for Kenya. Most of you need money to buy food." Hili ni jambo hua nishawahi kujaribu kuelezea watanzania wenzako mara nyingi sana bila kufanyikiwa,labda wewe mmoja wao unaweza kujaribu.
Ukiskia Turkana kuna njaa na mtu amekufa, usianze kucheka eti Kenya hakuna chakula, Chakula kiko! hata kama kimeagiziwa kutoka nje, kiko na kinapatikana madukani, shida ni kwamba kuna maskini ambao hawawezi kununua hichi chakula cha madukani. Hawa maskini hua wanategemea mifugo au kupanda chakula (wakitegemea mvua) ili kupata lishe. Mvua ikikosekana basi hakuna nyasi za kufuga mifugo na hakuna maji ya kupanda chakula.
Kuna sehemu zengine Kenya huenda hata miaka mitatu au miine bila mvua kuonekana! Kama we ni maskini na unaishi huku!!! itafika wakati ukose la kula kabisa, na akwavile hauna uwezo wa kununua chochote basi utabaki kupunga upepo chini ya mti!!!
Asilimia 70 ya Kenya ni kame u inakaribia kua kame, Tofauti na Tanzania ambapo yule maskini hohe hahe ambaye hana uwezo wa kununua chakula bado anaweza kufuga mifugo au kupanda chakula akitumia maji ya mvua.
Lakini kwa upande mwengine,, sababu kubwa kwanini hauioni Kenya ikiwa mbele ya Tanzania kwa njaa hapo kwa World Hunger Index ni kwavile Wakenya wengi wanahamia kuishi kwenye maeneo yaliyo na rotuba, huko sehemu karme utapata ni watu wachache.
Yani kulingana na takwimu, 70% ya wakenya wanaishi ndani ya 30% ya ardhi. Au ukipenda kuna watu 30% ya wakenya wanaishi juu ya 70% ya ardhi.
Ukilinganisha huko ambako 70% ya wakenya wanakoishi na unagalie Satelite Image ya Kenya unagundua hao wakenya wamerundikana kwanye ardhi yenye rotuba alafu hayo maeneo kame ndo watu wengi wamekwepa.
You know nothing about Kenya and Kenyans my friend. By the time you were in Kenya ulikuwa unaiishi side gani? But usiseme ni Mombasa na kawaida ya watu wa huko ata wewe unaijua ni the same na ya tanzanians.And
And listen mzee utawadanya wengi humu about Kenya but not me, I have spent enough years in Kenya.In fact i studied there so huwezi niambia kitu kuhusu Kenya.
I got your pointNo you can't may be you didn't get my point.
My point ni kwamba kuna watanzania wengi wanalima kujilisha wao kwahio wanachochakula ndani kutoka shamba.
MTU kama huyo anaweza akatumia less than 2 USD na akala vizuri na kushiba lakini bado sababu hana pesa nyingi nae atawekwa kwenye kundi LA watu wenye insecurity ya food kisa tu him/her ana earn very little amount of dollars in a year kitu ambacho haki make sense kwa maisha ya ki Tanzania
Wazungu wengi hawadeal na ukulima only very few ambao wana feed nchi nzima so for them having money translates to having food security however more than 75% of Tanzanians associate themselves in farming activities in one way or another.These are very different scenarios which lead to misrepresention of facts.
You do know that food security also involves the type of nutrition you get, not just filling up your bowels ie Kenya out performs her neighbors in the nutritional value of the food they eat. Tanzania eat majorly starchy foods like cassava and maize with beans. Kenyans consume a variety of foods normal food like cassava, maize, beans, pigeon peas, soya beans, noodles, potatoes, traditional vegetable, cabbages, kales, cauliflower and broccoli (especially in urban areas), carrots, beef , chicken, pork, wheat, fish, bhindi etc.Yes ni kweli but the mathematics should be proper.
You do know that food security also involves the type of nutrition you get, not just filling up your bowels ie Kenya out performs her neighbors in the nutritional value of the food they eat. Tanzania eat majorly starchy foods like cassava and maize with beans. Kenyans consume a variety of foods normal food like cassava, maize, beans, pigeon peas, soya beans, noodles, potatoes, traditional vegetable, cabbages, kales, cauliflower and broccoli (especially in urban areas), carrots, beef , chicken, pork, wheat, fish, bhindi etc.
It is highly unlikely you will find a kenyan eating a meal without a vegetable . Githeri will almost always have cabbages or kales, fish will almost always have traditional vegetables or kales along with ugali or rice. Chapati and beans will almost always have a good sizing of cabbages. French fries (Chips) will always be served with a salad like coleslaw and a protein of your choice etc.
If you notice a meal is quite balanced in Kenya more than in Tanzania.
This was also noted by WHO who showed that Kenya has the lowest rate of malnutrition in east africa. In kenya the problem is major in northern counties where less than 25% of the country live.
80% of kenyans live in the southern areas of central, western, south and north rift region, Nyanza etc which are very much food secure in both proteins, vegetables and starchy food.
Western Kenya: (Kisii, Kisumu, Kakamega, Busia, Bungoma, Homabay,Trans Nzoia etc)
Main starchy food: Bananas, Maize, cassava, sweet potato, rice,wheat
Main Vegetables: Cabbages, Kales, Traditional Vegetables like pumpkin leaves, Amaranthus etc,
Main Protein Food: Milk and other products like cultured milk, Fish, Chicken,Beef, beans.
Central Kenya: (Kiambu, Nyeri, Muranga, embu, kirinyaga etc)
Main starchy food: Bananas, Maize, Irish potato, rice, wheat
Main Vegetables: Cabbages, Kale, Traditional Vegetables like Managu, carrots, peas etc (This region produces tonnes of vegetable for local consumption and export).
Main Protein Food: Goat meat, mutton, beef, Chicken, Milk and other dairy products like yoghurt and cultured milk.
Nairobi:
Main starchy food: Bananas, Maize, Irish potato, rice, wheat, cassava, sweet potatoes
Main Vegetables: Cabbages, Kale, Traditional Vegetables like Managu, carrots, peas , broccoli, cauliflower, french beans, carrots, bhindi etc.
Main Protein Foods: Goat meat, beef, mutton, chicken, Milk and other dairy products like cheese, yoghurt, whipping cream, curd etc.
Rift Valley: (Kericho, Bomet,Uasin Gishu, Baringo, Nakuru,Naivasha, Narok etc)
Main starchy food: Bananas, Maize, Irish potato, rice, wheat, cassava, sweet potatoes (this region produces about 450,000 tonnes of wheat against a demand of 900,000 tonnes)
Main Vegetables: Cabbages, Kale, Traditional Vegetables like Managu, carrots, peas , broccoli, cauliflower, french beans, carrots, bhindi etc.
Main Protein Foods: Goat meat, beef, mutton, chicken, Milk and other dairy products like cheese, yoghurt, whipping cream, curd etc.(The region is defined by huge ranches and large scale dairy farms that produce beef and other dairy products)
Combine the above with tonnes of fruits eaten everyday in these regions everyday like Mangoes,Oranges, Watermelon, thorny melon, apples, peach and pears etc. We grow a lot of fruits but can not meet demand especially for oranges that is why we import from Tanzania and Uganda to meet the demand.
These regions above represent about 65% of the country in population. but also the these areas are only about 20% of the country in land mass and they are heavily populated. They account for about 80% of agricultural output and about 78% of GDP.
You know nothing about Kenya and Kenyans my friend. By the time you were in Kenya ulikuwa unaiishi side gani? But usiseme ni Mombasa na kawaida ya watu wa huko ata wewe unaijua ni the same na ya tanzanians.
You know nothing about Kenya and Kenyans my friend. By the time you were in Kenya ulikuwa unaiishi side gani? But usiseme ni Mombasa na kawaida ya watu wa huko ata wewe unaijua ni the same na ya tanzanians.
I know one dish that i love at my dinner table is Bhindi Masala with Chicken Achar or chicken curry with chapati or paratha.
You are lying people in Kibera eat Omena alot combined with a fish called Mgongo wazi and Obambla. Meat they eat in smaller portions like 1/4 kg to maximum 1/2 kg. They also eat eggs and in fact people from Kilimani go to get traditional vegetables in the kibera market. you do not know kenya.Sikiliza nikuambie kitu,nimeishi Kenya miaka ya kutosha rafiki angu ,nimekaa kisii na kurya zaidi.Lakini pia kisumu,migori,homa bay kote I have been there. Huko watu ni maskini tu. Milo(meal) unayozungumzia ni kwa MTU mwenye kipato sio mkenya masikini.Yaani unaongelea middle class na rich people sio mkenya aliye masikini.
MTU wa kibera hawezi ku afford hivyo vyakula unavozungumzia
Hafu kwenye tatizo LA njaa unaweza Ku classify cases mbili
1.malnutrition
2.starvation
Kwa issue ya malnutrition sikatai Tanzania tuna tatizo kubwa sababu masikini wengi balanced diet kwao ni kama luxury but this is true for Kenya as well .
Tanzania hatuna "starvation" however.
You do not know kenya boss in fact a study was done that found that poorer urban dwellers in kenya and the lower middle class are healthier and less obese than the middle middle class, upper middle class and the wealthy because they consume a lot of traditional food unlike junk food like burgers, pizza etc. You think you will find "Mama mboga" in Kilimani, Loresho, Muthaiga , Runda or Kitisuru"? They are in the slums.You have never been in Kenya boss poor urban dwellers have a realy good diet of traditional vegetables and protein especially goat meat soup, mutura, matumbo etc.Sikiliza nikuambie kitu,nimeishi Kenya miaka ya kutosha rafiki angu ,nimekaa kisii na kurya zaidi.Lakini pia kisumu,migori,homa bay kote I have been there. Huko watu ni maskini tu. Milo(meal) unayozungumzia ni kwa MTU mwenye kipato sio mkenya masikini.Yaani unaongelea middle class na rich people sio mkenya aliye masikini.
MTU wa kibera hawezi ku afford hivyo vyakula unavozungumzia
Hafu kwenye tatizo LA njaa unaweza Ku classify cases mbili
1.malnutrition
2.starvation
Kwa issue ya malnutrition sikatai Tanzania tuna tatizo kubwa sababu masikini wengi balanced diet kwao ni kama luxury but this is true for Kenya as well .
Tanzania hatuna "starvation" however.
I love githeri and cabbage for breakfast especially when it comes with black tea or coffee! Githeri is actually a common dish across all classes of kenyans so if you think that is an insult you are quite off the mark.Waweza write anything hapa jamii forums it's because hatuna ability ya kuja kukagua what you are eating in fact you could be eating githeri for break fast,lunch and dinner na ukaandika hapa any food that you can google.
By the way the kibera you like quoting is far much more advanced than anything in middle class Tanzania. They spend more than what 49.1% of your country earn in a day. Majority are wage workers in kenyan industries in industrial areas where they are paid about Kes 250- 300 per day. That is about $2-$3 a day, which more than what 49.1% of Tanzanians earn and spend in a day which is less than $1.49 a day.Sikiliza nikuambie kitu,nimeishi Kenya miaka ya kutosha rafiki angu ,nimekaa kisii na kurya zaidi.Lakini pia kisumu,migori,homa bay kote I have been there. Huko watu ni maskini tu. Milo(meal) unayozungumzia ni kwa MTU mwenye kipato sio mkenya masikini.Yaani unaongelea middle class na rich people sio mkenya aliye masikini.
MTU wa kibera hawezi ku afford hivyo vyakula unavozungumzia
Hafu kwenye tatizo LA njaa unaweza Ku classify cases mbili
1.malnutrition
2.starvation
Kwa issue ya malnutrition sikatai Tanzania tuna tatizo kubwa sababu masikini wengi balanced diet kwao ni kama luxury but this is true for Kenya as well .
Tanzania hatuna "starvation" however.
There is a big difference and yes kibera children do get to eat chocolate not daily but their parents can buy chocolate wafers for them at least twice or thrice a week which cost kes 10 per wafer.You think I don't know usiseme sijui chochote as if una uhakika
Tatizo hapa JF watu mnapondana kati ya Kenya na Tanzania as if kuna difference kubwa sana between these two countries na wengi hapa akiwa mtanzania anasifia any thing Tanzanian same kwa mkenya atasifia anything Kenyan hata kama no upuuzi.
Hizi nchi zote maskini sana.Kama umeishi both sides utatambua hili.
Also do not think all kibera residents are homeless, it is a kenyan culture where you will find a landlord renting out the main house and living in the servants quarter.You think I don't know usiseme sijui chochote as if una uhakika
Tatizo hapa JF watu mnapondana kati ya Kenya na Tanzania as if kuna difference kubwa sana between these two countries na wengi hapa akiwa mtanzania anasifia any thing Tanzanian same kwa mkenya atasifia anything Kenyan hata kama no upuuzi.
Hizi nchi zote maskini sana.Kama umeishi both sides utatambua hili.
Sasa umenena kitu cha maanaHizi nchi zote maskini sana.Kama umeishi both sides utatambua hili.
Also do not think all kibera residents are homeless, it is a kenyan culture where you will find a landlord renting out the main house and living in the servants quarter.
From 2003 GOK has built decent houses for Kibera residents for which they pay kes 1000 monthly over years to finally own the house.
In 2011 GOK found out all the people who were given decent houses under slum upgrading programme had moved back to kibera and rented out their houses at between kes 7000- kes 10,000 a month to lower middle class tenants.
Which is quite a good business sense because now they earn a monthly income and simply pay GOK their kes 1000 and retain the rest of the money.
Also it has become a business where a person is allocated a house, rents it out and moves back to kibera, then call relatives from the village to come to the slum and wait for next batch of GOK houses.
Kibera residents rent out houses, move to slum : The Standard