Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Anything to make you sleep boy!Sikatai GoK imechukua hatua mbalimbali kufanya slum upgrading lakini bado wakaze wa kibera ni among the poorest in East Africa.Acheni kujimwambafy this region one of the poorest in Africa hizo efforts za kujisifia mngefanya something useful.Kenya is a very poor country and from my experience there is a very thin margin of difference between Kenya na Tanzania when it comes to living standard,
Hizo ni data za kupika! Hawajui store yangu ina taningapi! Huu nao ni uhuni!Hii ndiyo index ya food security ya dunia. Kenya number 86, Tanzania number 96.
Ndugu zangu Watanzania, mambo ya chakula mnadidimia, wakati Kenya inapaa. Kenya nusu yake ni jangwa. Aisee, au mnatulisha halafu mnajisahau.
Provided we are either peasant or subsitance farmer chakula mnakipata Tanzania . so far mko rank ya juu maana mnanunua kwetu mnachanganya na kwenu. sisi hatununui kwenu chakulaBecause you are subsistence farmers, peasant farmers. Everyone is a peasant farmer. Your society is not advanced enough, as a nation develops fewer people engage in Farming.
Hii ndiyo index ya food security ya dunia. Kenya number 86, Tanzania number 96.
Ndugu zangu Watanzania, mambo ya chakula mnadidimia, wakati Kenya inapaa. Kenya nusu yake ni jangwa. Aisee, au mnatulisha halafu mnajisahau.
Global Hunger Index haitumii GDP wala pesa za watu walizonazo mfukoni kama vigezo vya kupima njaa,Watu tunafikra tofauti and I don't know whobyouvhave been arguing with but ambacho Nina uhakika these statistics zina mislead "facts" more than 75% ya Tanzania ni wakulima.Hwa watu hawaitaji pesa nyingi kwaajili ya chakula hata kwa less than 2 USD wanaweza ishi vyema tu .So kuwa judge about food insecurity based on their income is pretty foolish.
Unlike USA kwa mfano ambapi only 2.5% and may be less ni wakulima maana take 97% ya nchi haina chakula hata kidogo so wataweza pata chakula purely based on their income.Hapa huwezi survive kwa 2 dollars !!!
Ndomana wa america wakisikia huku tunaishi kwa less than 2 dollars wanaona kama tupo in hell,hatuli tunalala njaa something which is very misleading.
Hizi majarida zinatumia western criteria kuangalia kuangalja food security in Tanzania hawawezi come up with something factual.
Their research is misleading them for they have to set different criteria when analysing countries like Tanzania otherwise wanajidanganya tu.