Watu tunafikra tofauti and I don't know whobyouvhave been arguing with but ambacho Nina uhakika these statistics zina mislead "facts" more than 75% ya Tanzania ni wakulima.Hwa watu hawaitaji pesa nyingi kwaajili ya chakula hata kwa less than 2 USD wanaweza ishi vyema tu .So kuwa judge about food insecurity based on their income is pretty foolish.
Unlike USA kwa mfano ambapi only 2.5% and may be less ni wakulima maana take 97% ya nchi haina chakula hata kidogo so wataweza pata chakula purely based on their income.Hapa huwezi survive kwa 2 dollars !!!
Ndomana wa america wakisikia huku tunaishi kwa less than 2 dollars wanaona kama tupo in hell,hatuli tunalala njaa something which is very misleading.
Hizi majarida zinatumia western criteria kuangalia kuangalja food security in Tanzania hawawezi come up with something factual.
Their research is misleading them for they have to set different criteria when analysing countries like Tanzania otherwise wanajidanganya tu.