World Ranking of Countries by their IQ

atleast it is higher than urs😀😀😀
Kwa muujibu wa bwana wako (slave master). You are so much enslaved, you can't think straight. NI HIVI, UKO KWENYE NCHI YAKO MWENYEWE ALAFU HAUNA ARDHI na umeendelea kuwa hauna ardhi tangu upate uhuru miaka 50 iliyopita. Ardhi yote ya nchi yako inamilikiwa na malkia elizabeth kupitia her loyal subjects na bado wewe unasema una akili?
 
we ambaye sio mtumwa mbona unajikaza sana kuzungumza lugha ya mkoloni kana kwamba umebanwa na mavi?😀😀..kama huna la maana la kusema ni bora ufyate sababu unadhihirisha upumbavu wako na reality ya kuwa na low IQ..finally, kenya is ahead of you so stop crying the truth is the truth
 
we ambaye sio tumwa mbona unajikaza kuzungumza lugha ya mkoloni kana kwamba umebanwa na mavi?😀😀..kama huna la maana la kusema ni bora ufyate sababu unadhihirisha upumbavu wako wa kuwa na low IQ
Jikomboe kwanza kutoka kwenye utumwa wa akili ili upate ardhi alafu uje tuzungumze mezani, shida ni nini?
 
Jikomboe kwanza kutoka kwenye utumwa wa akili ili upate ardhi alafu uje tuzungumze mezani, shida ni nini?
nawe jikomboe toka kwa umaskini wa kutupwa na hali ya ldc kisha uje...sawa?
 
Hii inatokana na chakula wenzetu waganda wanakula ndizi samaki lazima IQ iwe kubwa compared to other east African countries
very possible, i wonder if at least we can get to 90, but nimeinteract with ugandans and they are very smart, ata wazimbabwe kama si kipindi cha mugabe i think wangekuwa over 90, they are also very bright sijui uko wanakula nini.
 
Hahah nigger pleaseeee! Kwa hiyo kuwa na wastani wa IQ 80 unaona ni sifa hadi kuja kuanzisha Mada???

Ndo maana 85% ya Kenya iko chini ya Muzungu na Muhindi!
sijui nini shida na wewe unaona nikiwa na sifa gani au nimeuliza swali, my friend ningependa Kenya tuwe uko 95, mimi sielewi wanatumia njia gani kufanya utafiti huu.. its very embarassing and more embarassing that wewe kama mbongo you are insecure.
 
Tatizo hizi Test haziendi vijijini, wala sehemu maskini, wanapimana wenyewe tu nchi tajiri na mijini Afrika!
Wala siziamini..
 
they use 1 percent of their brains...I read it somewhere..for a country that is as rich as tz is, they must be very stupid given that they are still in the LDC sphere...
povu hili sio la kawaida. hasira hasara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukweli usemwe, Waganda huwa smart sana, Fanya nao kazi ndio utagundua hilo, ila mibongo hata hiyo 70 wamewabeba, jamaa mdebwedo tu hamna lolote, utaona yanavyopiga makele makampuni yao yakisisitiza kuwaajiri Wakenya na Waganda kufanya kazi maeneo yanayohitaji matumizi ya akili kama vile CEO pale Vodacom.
 
Whoever did this report must be very uninformed, Kenya is way ahead of Uganda interms of IQ, But IQ is not the most important factor for success. EQ (Emotional intellingence) is the key to success, and for EQ No one can match Tanzanians, they are hospitable,Sociable responsible, diligent and empathetic. "Undugu"..And its evident in their relationships with Others, they receive the most projects and FDI, tourists spend most money in Tz etc
 
naomba kuuliza, watanzania wenye IQ ndogo walitumia maarifa gani kuwapora wakenya(wenye IQ kubwa kutuzidi) mradi wa bomba la mafuta ya uganda.

nahitaji jibu lenye IQ kubwa, sihitaji kujibiwa kwa emotion. ukinijibu kwa jazba na emotion nitajua wewe ni kilaza. [emoji23]
 
IQ counts for very little in a persons success, Most succeful business men are dropouts, hata dewji sidhani ana masomo ama IQ ya juu sana, but he has good EQ..anajua kufanya biashara na kuishi na watu.. USA wengi wazaliwa huwa malofa tu..lakini wako na good policy (EQ)to attract high IQ people who build their financial and scientific power..Kama vile Albert Eisten..yeye ni mzaliwa wa east germany
 
Sema kwenye hiyo list sijaiona nchi kama, north korea, sasa najiuliza wenyewe hawana IQ kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii nyie Jay456watt na, MIXOLOGIST, Barbarosa na wengine hamuwezi kujadili mada husika, kupanua mawazo na kushea mambo yenye manufaa zaidi ya kutukanana Ukenya na Utanzania?, mnadhani ndio uzalendo au? Nilidhani uzalendo ni kujifunza kizuri kilicho kwa mwenzako na si kutambiana tu, nimewapuuza.
 
ah lijizee vipi.umpotea sana sijui ulienda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…