World Ranking of Countries by their IQ

World Ranking of Countries by their IQ

ah lijizee vipi.umpotea sana sijui ulienda wapi
jizee la 60s nipo busy sana siku.....nipo busy katika kutengeneza empire yangu.

inshallah ikifika 2020 nitaanza kuajiri vijana wa kikenya katika investment zangu. najua huko kwenyu majobless ni wengi. [emoji23]
 
😀😀😀waandike tu watakujenga sana...sahii inabidi ujenge empire jinsi ulivo jizee..hivi karibuni utaanza kuvalishwa napi😀😀😀..si unajua humu watu sio wavivu kama mlivo huko so ukiandika wakenya bula shaka utanufaika
 
mpaka sasa nimeshaandika job wakenya watatu, nimewatupa huko southern highland of tanzania wakisimamia moja ya mradi wangu mkubwa wa kilimo.

nimeajiri wakenya ili kupunguza namba ya vijana majobless hapo kenya.

my next biggest project which is expected to take off 2020,will force me to employ many kenyans.

jizee la 60s sio mtu wa mchezo mchezo... naajiri mpaka kenyans. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watz sasa hivi wanasema eeeeeh atiiiii! Hawajaelewa kitu! Uvumilivu unahitajika, siunajua tu kawaida ya low IQ? [emoji38] Watz msiniue, natania tu! [emoji23]
 
mpaka sasa nimeshaandika job wakenya watatu, nimewatupa huko southern highland of tanzania wakisimamia moja ya mradi wangu mkubwa wa kilimo.

nimeajiri wakenya ili kupunguza namba ya vijana majobless hapo kenya.

my next biggest project which is expected to take off 2020,will force me to employ many kenyans.

jizee la 60s sio mtu wa mchezo mchezo... naajiri mpaka kenyans. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni vizuri...nilidhani unawachukia wakenya ila kama umewaandika kazi ni vizuri...ila chunga mkenya sio mtu wa kuchezea, jinsi mlivo wavivu na bongolala (slowminded) unaweza amka ukapata wewe ndio mfanyikazi wake😀😀😀...
 
Back
Top Bottom