Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #21
π π π πLiwalo na liwe
Otimbi na otimbilio
Mbeya Kwenye mtaa kati ya nyumba 60 , makanisa 40 na nyumba za kawaida ni 20π π π πWanyakyusa na ulokole
Daaah π π π πPoverty and dreams
1. MEN, FOOTBALL AND BEAUTIFUL YOUNG GIRLS1. MEN and FOOTBALL
2. IPHONE USERS With MIRROR PHOTO
3. WOMEN and MONEY
4. WEED ADDICTS and UNFINISHED BUILDINGS
5. STUPID RELATIONSHIPS and MATCHING CLOTHESπ π
Add yours
π π π π π π π π π πNamba tano umeuaaaa mwanangu umeuaa hao ni wajinga sana na wale wavaa vitenge wao na wake zao
Umekuaje lakini?πππHaya&katerero
K-jelly&anus
ππππLiwalo na liwe
Otimbi na otimbilio
Ukichelewa hiyo menu lawama zake kama umeikosa pepoππHapo kwenye wali maharage kuna ule ukoko wa asubuhi mixer maharage na chai fulani hivi ya rangi sukari vijiko 6π π π
Ni kama umemaliza hv?!1.Dar & Joto
2.Ngono&UKIMWI
3.Nyembe& mav**zi
4.Sabuni&puchu
5.Dole la kati&Mbususu
6.Shuka chafu&kunguni
7.P Square& Do me
8.Tano&ngumi
9.Sister Du& Iphone macho3
10.Vijana wa chuo&kupretend maisha
11.Kondakta&Chenji
12.Mwigulu&Tozo
13.CCM&goli la mkono
14.Rumande& Sabaya
15.Teja&unga
16.Bank&pesa
17.Ukoloni mamboleo& USA
18.Bodaboda&wake za watu
19.Maji& samaki
20.mawingu&mvua
21.Sugu&Mbeya
22.2ndulisu& risasi
23.Mboe&Chadema
24.Ronaldo&Uefa
25.Samata& KRC GENK
26.Nyekundu&Simba
27.Yanga&njano
28.Kuropoka&Manara
29.Wanaume wa Dar& Mkongo
30.Mayai&Mkurya
31.Msukuma&ushamba
32.Mmasai&ng'ombe
33.Warangi&Umalaya
34.Wazaramo&ngoma
35.Dodoma&ukame
36.Sumbawanga&uchawi
37.Maji ya baraka&Mwamposa
38.Mbagala&ujenzi holela
39.Bahari&chumvi
40.Kariakoo&biashara
41.Ronaldinho&udambwidambwi
42.Ballon d'or& Messi
43.Man U&Magwaya
44.Afrika&ujinga
45.Simba&Mzungu
46.Dar&Flyover
47.Diamond&warembo
48.Smartphone&bando
49.Draft&kete
50.Makonda&sifa
Madereva Bodaboda na Viroba,1. MEN and FOOTBALL
2. IPHONE USERS With MIRROR PHOTO
3. WOMEN and MONEY
4. WEED ADDICTS and UNFINISHED BUILDINGS
5. STUPID RELATIONSHIPS and MATCHING CLOTHESπ π
Add yours