World tallest buildings

World tallest buildings

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nimeiona huko duniani inajieleza

1737211874325.png


Nafikiria hiyo basement yake itakuwaje
 
Ni Hayo Matatu Tu
Hilo La Mwisho Lipo Dubai, Vp Hayo Mawili
 
Ni Hayo Matatu Tu
Hilo La Mwisho Lipo Dubai, Vp Hayo Mawili
Hayajakamilika ujenzi wake.

Kama hilo la rise tower, linatarajiwa kukamilika 2030.

Mchakato wa kujenga jengo hilo ulianza 2022 na utagharimu jumla ya $5B
 
Kama hilo Rise tower litakua zaidi ya mara mbili ya la Dubai aisee basi itakua sio poa kabisa.
 
Back
Top Bottom