Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,268
Kama ni below 18yrs basi huo wosia ni batili, mahakamani mnashinda straight forward.Kama below je? Na je watabatilisha wosia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni below 18yrs basi huo wosia ni batili, mahakamani mnashinda straight forward.Kama below je? Na je watabatilisha wosia?
Sasa kuna wanaosema kama mtoto MVi under 18 lazima apate sasa kuna haja gani ya kuandika wosiaJiongeze hapo mkuu!! Marehemu alishajua toka kitambo mtoto sio wake....ndio maana akaita na mashahidi kabisa!! Alikua anafanya kitu anachokifahamu!
Umeina mbali mkuu tena mtiririko wa mgawanyo wa mali utavurugika maana utaenda tofauti na matakwa ya marehemu! Pia kama marehemu alisema mtoto fkan arithi shamba na mwingine aridhi gari alikua na maana yake maana yeye alikua nawajua vizuri watoto wake.Hahah, wewe unachekesha, ikiwa hivyo utashangaa watoto 10 wa nje ya ndoa wanajitokeza ilihali watoto wa ndoa ni wawili tu ambao mama yao ndio alishirikiana na baba yao kuchuma mali hawapati kitu. Inabidi baba mwenyewe aandike wosia kwamba ana watoto wa nje ya ndoa kadhaa na wapatiwe urithi kiasi kadhaa.
Yah maana kwa mtu mzima mpaka kufikia kuacha wosia sio kwamba alikurupuka ila akiwa na akili timamu ndo maana akawa na mashahidi kabisa! Kama mgawanyo wa mali.utaenda kinyume na wosia itakua sio haki kwa marehemu. Tatizo hapa watu wanataka sheria kila sehemu na kusahau hili nni jambo la jamiiMbona hamjiulizi ni kwa nn hakumuachia? Mnafikiri alimsahau? Think twice.
Yawezekana alithibitisha kuwa huyo mtt sio damu yake
Jiongeze hapo mkuu!! Marehemu alishajua toka kitambo mtoto sio wake....ndio maana akaita na mashahidi kabisa!! Alikua anafanya kitu anachokifahamu!
Mbona hamjiulizi ni kwa nn hakumuachia? Mnafikiri alimsahau? Think twice.
Yawezekana alithibitisha kuwa huyo mtt sio damu yake