WOSIA huu ni halalai au Batili? Je mambo gani yanaweza kubatilisha wosia?

Kama ni below 18yrs basi huo wosia ni batili, mahakamani mnashinda straight forward.
Basi hakuna haja ya kuandika wosia! Maana hujui sababu za marehemu mpaka akaamua vile
 
Jiongeze hapo mkuu!! Marehemu alishajua toka kitambo mtoto sio wake....ndio maana akaita na mashahidi kabisa!! Alikua anafanya kitu anachokifahamu!
Sasa kuna wanaosema kama mtoto MVi under 18 lazima apate sasa kuna haja gani ya kuandika wosia
 
Umeina mbali mkuu tena mtiririko wa mgawanyo wa mali utavurugika maana utaenda tofauti na matakwa ya marehemu! Pia kama marehemu alisema mtoto fkan arithi shamba na mwingine aridhi gari alikua na maana yake maana yeye alikua nawajua vizuri watoto wake.
 
Mbona hamjiulizi ni kwa nn hakumuachia? Mnafikiri alimsahau? Think twice.
Yawezekana alithibitisha kuwa huyo mtt sio damu yake
Yah maana kwa mtu mzima mpaka kufikia kuacha wosia sio kwamba alikurupuka ila akiwa na akili timamu ndo maana akawa na mashahidi kabisa! Kama mgawanyo wa mali.utaenda kinyume na wosia itakua sio haki kwa marehemu. Tatizo hapa watu wanataka sheria kila sehemu na kusahau hili nni jambo la jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…