Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

Kweli nimeamini usemi usemao "ishi maisha yako, kuhusu sifa nzuri ni kwa ajili ya marehemu"...........lemutuz aliyekuwa anakataliwa hadi na watoto saivi ndo anamwagiwa sifa na kina Pascal Mayalla 😩😩😩
 
Si naskia malecelas walikuwa hawamtambulishi kiviiile kwenye familia
 
.... who is William Malecella hadi aachie watu wosia? Usia most likely ameachia familia yake and that's all!
Alikuwa na familia gani sijui watoto alizaa akawatupa wapi huko akaacha wazungu wanamlelea ye akabaki anakula bata na wabebez full vurugu na mange kimambi hadi anafikwa umauti jamani ila apumzike kwa amani huyo baba na utu uzima alikuwa anagombana na vitoto mitandaoni tu
 
Aliniudhi alipokubali kuwa CHAWA wa Makonda na kisha gari yake aina ya Noah kutumika na kikundi cha WASIOJULIKANA katika operesheni za kuteka watu. Mmojawapo aliyetekwa na gari la Lemutuz ni RomaMkatoliki
 
Si naskia malecelas walikuwa hawamtambulishi kiviiile kwenye familia
Moja ya vitu vimenihuzunisha sana ni jinsi gani Watanzania wengi kwa sasa wanaochukulia Unafiki ni ajira. Nasikia kuna mtu kwenye msiba wa huyu mwamba huko kwa Malecela alizimiwa MIC just because, alikua anongea UKWELI, halafu kuna group la wanafiki wanasema eti walimmind kwanini aliongea vile kwakua anamchoresha Malecela kuwa alikua hamtake-kei mwanae.
 

Attachments

  • 1684783709060.png
    25.8 KB · Views: 10
Simjui vizuri saaana marehemu ila aliishi maisha ya kipumbavu kwa umri aliokuwa nao sijui ni baba gani angekuwa proud na huyo kijana wake πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† malecela aliwai kutambulisha familia lakini lemutuz hakuwemooooo na ndo kijana mkubwa wa ujanani wa mzee malecela sasa wanaficha nini eti kwamba "merehemu hasemwi vibaya" ?
 

marehemu ila aliishi maisha ya kipumbavu kwa umri aliokuwa nao sijui ni baba gani angekuwa proud na huyo kijana wake πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
"aliishi maisha ya kipumbavu kwa umri aliokuwa nao"

Hicho ulichoandika "conclusion" hapo juu, kinaitwa: end result, consequence, ama outcome.

mara nyingi watu wengi huwa wanareact, kuhitimisha or kuhukumu toka kwa hizi vitu: (end result, consequence, outcome) lakini ni wachache sana huenda mbali na kuangalia CHAIN OF CAUSATION iliyo sababisha hali kuwa hivyo ilivyo, then kutoa hukumu, itimisho.

malecela aliwai kutambulisha familia lakini lemutuz hakuwemooooo

Malecela ndio chanzo cha matatizo yote ya yule kijana, na kijificha miaka yote hii ni ushahidi tosha ya uongozi wa aina gani tuliokuwa nao Tanzania. Uongozi usiopenda kuwa accountable, kuwajibika. Hata kukiri kuwa amekosea ni kuwajibika pia.

Hawawezi kuwajibika hata kwa watoto walio wazaa, je Watawajibikaje kikamilifu kwa Watanzania?
 
Mayalaaa maana yake njaa # mwendazake
 
Hivi Mkuu Paschal Huwezi kuandika kisw.bila kuchanganya na kiingereza ...?huo ni ushamba na Kwa hadhi Yako inakushushia thamani...kama ukiandika Kiingereza andika chooooote acha kuchanganya changanya
..wasomi Kina profesa Janabi hawachanganyi kabisa lugha isipokuwa paliposhindikanika....
 
Paskali salama ya CCM nikukubali kuishi kama Kanisa Katoliki lilivyoishi na Galileo kwa kuimpose silent in obedience kwa Galileo, kuiacha public isisikie kama Kanisa Katoliki limekubaliana na Galileo lakini wakaishia kuona taratibu kanisa Katoliki likiishi maono ya Galileo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…