Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
- Thread starter
-
- #21
Aaah kwan hizo haki hazieshimu wosia wa mtu...?Maiti haendagi mahakaman mkuu na haki za binadamu huwa ziko hai kumtetea kama kazidiwa na hisia
Hiv huogopi kuoa mtu aliyeandikiwa wosia ? Jaman heshimuni wosia wanguAtagongwaaaaaaaa alafu mwisho ataolewa tu, Kwa sababu hakuna namna.
Mfunge kiunoni dogo, vinginevyo utaurarua moyo wako bure. Mi nna uzoefuAah mi hata iweje aisee, siwez kukubali mke wangu aolewe, ..
Mi nitaacha tego matata sana lisiloteguliwa, dushe yoyote itakayosogea italala mazima. Hata dildo litasinyaa.Hiv huogopi kuoa mtu aliyeandikiwa wosia ? Jaman heshimuni wosia wangu
Na kweli hii ndio dawa yao wanaojifanya hawaeshimu wosia wa wenzao...Mi nitaacha tego matata sana lisiloteguliwa, dushe yoyote itakayosogea italala mazima. Hata dildo litasinyaa.
UMEMZAA WEWE........?Hello wana chit chat..!
Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.
Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..
Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.
Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.
Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.
Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)
Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.
Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...
Wenu
Multiphill90
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nina wivu kama nyegere mkuu! sijaoa ila maandalizi ya tego nimeshaannza, njoo uchukue tego huku[emoji16]Na kweli hii ndio dawa yao wanaojifanya hawaeshimu wosia wa wenzao...
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata kama sijamzaa mimi. Kwa kuwa ni mke wangu na mahari nilitoa pesa yangu. Nina haki ya kuamua lolote.UMEMZAA WEWE........?
[emoji23][emoji23][emoji23]makabila yetu ya pwani haya,Da!... Mkuu umechukua kabila gani huyo viuno feni na sis tuelekee huko tutoe wosia mkuu.
Da! kweli mkuu maligo anayo kupigaga alafu mapigo hayo akampigie mshkaji mwingine we ukiwa umedead du! inauma sana[emoji23][emoji23][emoji23]makabila yetu ya pwani haya,
Mtu mzima kubebwa mgongoni.. Alaf kirahis rahis tu nikubali mke wangu aolewe eti kisa nimekufa...
Daadeki lazima ntakutokea usingizini tu
Papuchi itaoza apate infection. Lazima itumikeIla wosia wa mtu si unaheshimika jamani ? Basi naamin wosia wanGu utakua na tija...
Sasa nduG u yangu we niambia kirahis rahisi tu jitu lije chukua, kwwli haki hiyo ??hahahah daah,kwakweli na mimi nikayafikiria mauno ya Eliza wangu,napata mkumbuku na jakamoyo
Aaah kwa sasa 25, kifupi ni kwamba ataevunja wosia wangu ajiandae... Lazima nimlambe hata ndotoni..Mkuu Mkeo ana Umri gani???
Kama ni Under 30, Basi LAZIMA aolewe tuu, ila kama ni Above 40 basi atasilimika π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah , hi kali ya mwaka,Papuchi itaoza apate infection. Lazima itumike
Lakini si unajua Mla mla leo, Mla jana kala nini? na Alae kwa Upanga nae Ataliwa. Je na wewe Uko teyari Kulambwa na Mashetani Kwakua tuu Ulimlamba mtu Ndotoni?ππππππLazima nimlambe hata ndotoni..