Wosia: Nikifa mke wangu asiolewe

Mmmmhhhh...Una Mke mzuri [emoji23][emoji15] si yule Dada anayefanya kazi pale hospitali ya kijiji cha chalinze...maji ya kunde hivi, sio mnene na ni mchangamfu sana.! Mbona tunamchukua kungali hujapotea Mkuu...Time will tell
 
Mkuu;
Yaan nakuhurumia sana. Angalia sana mkeo asije kuuona wosia wako huu wa kijinga kabisa. Pili; Elewa kwamba hata sasa hivi kama ni muajiriwa, anagongwaga mara nyingi tu. Anapo hudhuria semina za kwenda kwa siku 4 jua zote hizo ni kuujaribu mtarimbo mpyaaa. Ile kitu akikaa masaa 2 tu inakuwaga kavuuu. Biblia inasema, ni kama kula nyama ya wizi na kuufuta mdomo. Tatu; Elewa kuwa, ni mila zetu sisi waafrika kuwa; Shemeji, aliwe na yule mrithi wako tena ikiwezekana kama ana hishima ni siku ya pili ya kufa kwako. Huwa inaitwa, Kumtia nguvu shemeji.
 
Kuna daladala imeandikwa hivyo,inafanya route ya Temeke-Tabata
 
Labda utangazwe umekufa kwa Ukimwi.
Hata hivyo wabishi watampima tu. Hakuna jinsi.
[emoji23][emoji23][emoji23]duuh. Umetisha aisee.

Mi nadhan solution ni kuweka wosia na tego tu... Hivi ile mitafrija ninayopata alaf mtu kijinga jinga aoe aje ale papuchi kwangu...
 
Lakini si unajua Mla mla leo, Mla jana kala nini? na Alae kwa Upanga nae Ataliwa. Je na wewe Uko teyari Kulambwa na Mashetani Kwakua tuu Ulimlamba mtu Ndotoni?😀😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenyewe shetani..
 
[emoji3][emoji3]sawa kabisa, hajawah kwenda semina za siku kulala huko hata siku moja btw namuamin wala siishi kwa wasi wasi hata kidogo...

Ila linapokuja suala la mke wangu kuolewa eti kisa nimekufa aiseee , haap ndio wosia wangu utakapooneakana wa muhimu, na yy mwenyewe nishamwambia
 
hapo tu upo hai unachapiwa....siku ukifa watu wanafanya sherehe...shubaaamit!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…