Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
- Thread starter
-
- #61
Aaah waendelee kuchapa tu, ila nilioandika ndio wosia wangu baada ya kifo. Sasa atayekaidi agizo hilo basi ujue yupo matatani[emoji6][emoji6]hapo tu upo hai unachapiwa....siku ukifa watu wanafanya sherehe...shubaaamit!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nikufe kwanza... Haya bhanaKufa uone.
Mhhhhhhhhhhh bas nae mwache ana hiyari ya kuufata wosia wako au kuukataa piaKama ataandika wosia wake basi nitauheshimu. Ila kama kasepa kimya kimya, aaaah nyama napiga kama kawa.
Ila hata nikitangulia mimi si nitaacha wosia wangu,Omba tu yy atangulie
Maana ukitangulia
Ww ndo bhas tena
Wosia wangu lazima aufuate, mbona kwenye mali cha kwanza ni wosia ?? [emoji28][emoji28]Mhhhhhhhhhhh bas nae mwache ana hiyari ya kuufata wosia wako au kuukataa pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itabid niache tego aisee. UkimtongoA mjane wangu tu chululu haisimamiHataolewa ila watamla tuu hamna namna
Wallah huu wivu sijui hata nimeutoa wapi aiseee, cjui kashaniroga huyu mwanamke ?Wivu Mubashara huo!
Until death do you apart sasa ushakufa mkataba wenu ushakwishaWosia wangu lazima aufuate, mbona kwenye mali cha kwanza ni wosia ?? [emoji28][emoji28]
Wosia wako utaheshimiwaIla hata nikitangulia mimi si nitaacha wosia wangu,
Kwa nn wosia wangu usiheshimike ??
Je akianza kufa mkeo na ww usiowe wala kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine?Hello wana chit chat..!
Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.
Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..
Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.
Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.
Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.
Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)
Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.
Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...
Wenu
Multiphill90