Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Iwe,

Mbona umekua mkali sana kwani wewe ni mpwa???

Mbona wapwa wamemuelewa mleta mada??

Why all this? au una agenda nyingine??

Samahani. Sina agenda zaidi ya kueleza niliyoyaeleza. Kwani yeye kachukia, au mnachukia kwa niaba yake?
 
Karibu ice cream za Azam!
My Resolutions: Getting married to Mzenj 2012, Having a family by 2013 and Launch campaigning for MP on my constituency for 2015 general election.

Orait Orait///.....hii ni resolution ya keyboard au?
 
Nilikuwa sijui kama kabaila na bepari huwa anageuka kuwa mtu mwenye busara
 
mmmh....kaazi kweli hii 201!

Kama hukutakata MTONI usitegemee kutakata BAFUNI....:nono:......TONGE halichagui MBOGA....Nyani HASUSIWI shamba......

Dah!!! Yaani vere vere.....
 
Kama hukutakata MTONI usitegemee kutakata BAFUNI....:nono:......TONGE halichagui MBOGA....Nyani HASUSIWI shamba......

Dah!!! Yaani vere vere.....


haaaaaaaa vipi nambie mkuuu!
 
Hommie shwari namsoma Babu Kabaila naona leo kageuka kawa mtoa wosia


Mi ndo nimemuuliza kama anakaribia kufa tujue moja tuanze kuweka mali zake sawa...hivi nani atarithi kipaji chake cha ukaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…