Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

ahahahha yaani wacha nicheke kwanza......mie nilishika kazi ya kunyonyesha kumbe mbingu karibu inipite??? duh....haya wosia wako utatiliwa into action kikamilifu...ngoja arobaini ipite...kwi kwiwiiwiwiwiiw........happy nu yr babu! mbinguni huendi peke yako ng'oo!
 
mmhh babu nikisema inapoint sana si kichwa kitaongezeka
hahah lol

naona unataka kufungua kanisa la MMU....lol

Babu akivimba bichwa kuna ubaya? Tatizo akivimba vingine lol
 
Nawe pia bana habari za kupotea (nimekumiss utakuja lini?ukishasoma futa rose asisikie)

Rose kanifukuza na mikungu yangu ya ndizi...lol....
(siku hizi hana wivu kabisa....ntakuja...soon n very soon)
 
Ephweeeee........... Hivi Maty Arusha ulisemaje tena juu ya St. R.R??

Nataka niweke kwenye kumbukumbu zangu..........maana nyie mabachela hamtabiriki......
 
Na huyu St. R.R ndo nani vile? Na kimesemwa nini juu yake?
 
Hahahhaha usintake nimkumbushie machungu babu yangu Bigirita.....kuhudumia ahudumie yeye afu wakati wa intercourse mamito ataje jina la St. RR ............loh mi ctaki
 
Heheeee.....st. alikuwepo arusha kiroho.......
 
Hahahhaha usintake nimkumbushie machungu babu yangu Bigirita.....kuhudumia ahudumie yeye afu wakati wa intercourse mamito ataje jina la St. RR ............loh mi ctaki

hahahahaaaaa lol tatizo bigirita ni hati breka bana
 
Hehehehehehe!!hivi post ilikuwa inazungumzia nini vile?unaju yale mambo ya katikati ya mtihani wa Maths unaletewa mtihani wa biology????mi naona kichina tu hapa......
 
Back
Top Bottom