Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
:coffee::coffee::focus:
Heheheeee nikae kimya mie nisije nikamtapikia babu vipepeo nikapata laana mwe! bado nahitaji baraka zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:coffee::coffee::focus:
Babu ameamka kifudifudi!
Poa I hope weekend hii huna mkataba na Abood wa kuja Dar..maana ..............
Halafu watu tunajiuliza kwa nini server ilitema vile........... orait orait
same to u, si unajua mambo ya kuhesabiwa!!? lazima utie mguu mlima ndio kitaeleweka.Kama wewe vile....Happy New Yr!
Point kidogo?
Nawe pia bana habari za kupotea (nimekumiss utakuja lini?ukishasoma futa rose asisikie)
Loh kwani unavyo vingapi mwenzetu?Babu akivimba bichwa kuna ubaya? Tatizo akivimba vichwa vingine lol
Ephweeeee........... Hivi Maty Arusha ulisemaje tena juu ya St. R.R??Rose kanifukuza na mikungu yangu ya ndizi...lol....
(siku hizi hana wivu kabisa....ntakuja...soon n very soon)
Triple g..............naona huyu Asprin anataka kutuchanganya hapa..maswali ya msingi hajibu na ya nyongeza anayapotezeaUnanikwaza aspirini.
Ephweeeee........... Hivi Maty Arusha ulisemaje tena juu ya St. R.R??
Nataka niweke kwenye kumbukumbu zangu..........maana nyie mabachela hamtabiriki......
Babu akivimba bichwa kuna ubaya? Tatizo akivimba vingine lol
Hahahhaha usintake nimkumbushie machungu babu yangu Bigirita.....kuhudumia ahudumie yeye afu wakati wa intercourse mamito ataje jina la St. RR ............loh mi ctakiNa huyu St. R.R ndo nani vile? Na kimesemwa nini juu yake?
Hahahhaha usintake nimkumbushie machungu babu yangu Bigirita.....kuhudumia ahudumie yeye afu wakati wa intercourse mamito ataje jina la St. RR ............loh mi ctaki
Hahahhaha usintake nimkumbushie machungu babu yangu Bigirita.....kuhudumia ahudumie yeye afu wakati wa intercourse mamito ataje jina la St. RR ............loh mi ctaki
Heheeee.....st. alikuwepo arusha kiroho.......