Mpwa Kaizer habari yako naona upo kwenye maandalizi ya kambi nyingine toka infii na kuhalalishwa hii mpya.
Kheri ya Mwaka Mpya Dark city karibu kujadili rasimu mpya ya babu mewata.
Alafu St. R.R ulinipita pale Hedaru shaaaaaaaaa bila kunitambua
Unakufa lini maana umedai huu ni wosia? maanake topic yenyewe ni offtopic sasa hapo nimekuwa confused! hahahahaha
Hehheeee...pawatila ilishanchanganya ujue....ilikua 02/01/11?
Mpwa Kaizer habari yako naona upo kwenye maandalizi ya kambi nyingine toka infii na kuhalalishwa hii mpya.
Kheri ya Mwaka Mpya Dark city karibu kujadili rasimu mpya ya babu mewata.
Alafu St. R.R ulinipita pale Hedaru shaaaaaaaaa bila kunitambua
Kwa kawaida babu anakufa wakati wowote. umri ushaenda (siyo asprin hommie, stuka)
Kwa kawaida babu anakufa wakati wowote. umri ushaenda (siyo asprin hommie, stuka)
Happy N Year Mkuu....
Rasmu nyingine mhhhh...hata sielewi kinachoendelea. Labda nimevamia karata za watu..Ukizingatia umri wenye hadi macho yanahitaji msaada ili yaone!
Ndo maanake mm nilikuwa naziba pancha, bata vuzi ilipata pancha maeneo hayo mkuu
Kweli mwaka mpya na mambo mapya ,asante sana babu kwa wosia wako,Nimeamini ukubwa dawa
Hehheee...pole mkuu....heheheee...
Ila siku hizi neno kupata pancha lina maana nyingine mkuu....
Kweli mwaka mpya na mambo mapya ,asante sana babu kwa wosia wako,Nimeamini ukubwa dawa
thanks mate.... hii reflection nimeipenda zaidiSalamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.
Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great thinker bado haijakaa kichwani kwa babu).
Nawashauri ndugu zangu wa MMU kuwa tubadilike na tuache tabia ya kutoa na kujadili mada zisizo na tija kwa taifa letu kama zile za kufurahishwa na harufu za vikwapa, kummega mama mkwe, kupenda avatar za baadhi ya members, kutafuta infii nk nk nk.
Kwa kuanzia naanza mimi kwa kutoa hoja za ki-great thinkings
1. Hivi hatuoni kuwa ni verevere kusali kabla ya tendo la ndoa ili kujiepusha na mabaya kama kufa kwa presha wakati wa tendo, kutomridhisha mwenzako, kumuumiza mwenzako, kumwambukiza mwenzako maradhi au kumgea mimba zisizotarajiwa? (au kufumaniwa kwa wale mainfii)
2. Je haitupasi kumshukuru Mungu baada ya tendo kwa kuzuia hayo hapo juu kutokea?
3. Haifai kumwomba Mungu awaongezee uhai ili mkutane tena na muweze kufanya hayo mawili hapo juu?
Angalizo: Hii ni kwa wale wenye mahusiano ya kudumu.
Kwa wale wa mahusiano ya papo kwa papo hamuhusiki na hizo hoja hapo juu, ila je?
1. hamuoni baada ya kumaliza uchafu wenu mnapaswa kwa pamoja kutubu kwa Mungu kwa maudhi na dhambi mliyotoka kuitenda punde? (Baada ya kuoga, Mungu hapendi maarufu ya ngono). Mnasubiri mkatubu kanisani/msikitini, mkipata ajali kabla hamjafika huko na mkafariki dunia hamuoni mtaingia Jehanamu?
2. Baada ya namba moja hapo juu hamuoni kuwa yawapasa kumwomba Mungu ili ampitishe shetani mbali msirudie tena kuirudia hii dhambi mbaya?
Babu anawapendeni na anarudi zake kitandani.
:drum::drum::drum:
Nyie hamna cha kuwaasa kwa maana mnavitumia vikojoleo vyenu inavotakiwa.
Ukimchunguza sana bata hutamla Smiles....punguza uchunguzi.
Halafu baada ya hapo taifa linapata katiba mpya, linamalizana na deni la dowans, mgao wa umeme unaisha ..etc etc ...au?
Bado naona nyota nyota Babu mwenzangu..au wewe mambo yako yameenda below 1947?