Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Mpwa Kaizer habari yako naona upo kwenye maandalizi ya kambi nyingine toka infii na kuhalalishwa hii mpya.

Kheri ya Mwaka Mpya Dark city karibu kujadili rasimu mpya ya babu mewata.

Alafu St. R.R ulinipita pale Hedaru shaaaaaaaaa bila kunitambua

Hehheeee...pawatila ilishanchanganya ujue....ilikua 02/01/11?
 
Unakufa lini maana umedai huu ni wosia? maanake topic yenyewe ni offtopic sasa hapo nimekuwa confused! hahahahaha

Unamaana hata ile safari ya Arusha aliyo sahau alikuwa anaogopa kifo?
 
Mpwa Kaizer habari yako naona upo kwenye maandalizi ya kambi nyingine toka infii na kuhalalishwa hii mpya.

Kheri ya Mwaka Mpya Dark city karibu kujadili rasimu mpya ya babu mewata.

Alafu St. R.R ulinipita pale Hedaru shaaaaaaaaa bila kunitambua


Happy N Year Mkuu....

Rasmu nyingine mhhhh...hata sielewi kinachoendelea. Labda nimevamia karata za watu..Ukizingatia umri wenye hadi macho yanahitaji msaada ili yaone!
 
Happy N Year Mkuu....

Rasmu nyingine mhhhh...hata sielewi kinachoendelea. Labda nimevamia karata za watu..Ukizingatia umri wenye hadi macho yanahitaji msaada ili yaone!

Shukrani mkuu.

Lakini wewe na babu mwenzio mnaendana mm nikajua tayari wewe umeelewa nini anacho taka kiwe huu mwaka mpya!
 
Kweli mwaka mpya na mambo mapya ,asante sana babu kwa wosia wako,Nimeamini ukubwa dawa
 
Ndo maanake mm nilikuwa naziba pancha, bata vuzi ilipata pancha maeneo hayo mkuu

Hehheee...pole mkuu....heheheee...
Ila siku hizi neno kupata pancha lina maana nyingine mkuu....
 
Hehheee...pole mkuu....heheheee...
Ila siku hizi neno kupata pancha lina maana nyingine mkuu....

Hahahaha ahsante mkuu kiswahili siku hizi kinakua sana unakuta neno moja lina maana zaidi ya mbili
 
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.

Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great thinker bado haijakaa kichwani kwa babu).

Nawashauri ndugu zangu wa MMU kuwa tubadilike na tuache tabia ya kutoa na kujadili mada zisizo na tija kwa taifa letu kama zile za kufurahishwa na harufu za vikwapa, kummega mama mkwe, kupenda avatar za baadhi ya members, kutafuta infii nk nk nk.

Kwa kuanzia naanza mimi kwa kutoa hoja za ki-great thinkings

1. Hivi hatuoni kuwa ni verevere kusali kabla ya tendo la ndoa ili kujiepusha na mabaya kama kufa kwa presha wakati wa tendo, kutomridhisha mwenzako, kumuumiza mwenzako, kumwambukiza mwenzako maradhi au kumgea mimba zisizotarajiwa? (au kufumaniwa kwa wale mainfii)

2. Je haitupasi kumshukuru Mungu baada ya tendo kwa kuzuia hayo hapo juu kutokea?

3. Haifai kumwomba Mungu awaongezee uhai ili mkutane tena na muweze kufanya hayo mawili hapo juu?

Angalizo: Hii ni kwa wale wenye mahusiano ya kudumu.

Kwa wale wa mahusiano ya papo kwa papo hamuhusiki na hizo hoja hapo juu, ila je?

1. hamuoni baada ya kumaliza uchafu wenu mnapaswa kwa pamoja kutubu kwa Mungu kwa maudhi na dhambi mliyotoka kuitenda punde? (Baada ya kuoga, Mungu hapendi maarufu ya ngono). Mnasubiri mkatubu kanisani/msikitini, mkipata ajali kabla hamjafika huko na mkafariki dunia hamuoni mtaingia Jehanamu?

2. Baada ya namba moja hapo juu hamuoni kuwa yawapasa kumwomba Mungu ili ampitishe shetani mbali msirudie tena kuirudia hii dhambi mbaya?


Babu anawapendeni na anarudi zake kitandani.
:drum::drum::drum:
thanks mate.... hii reflection nimeipenda zaidi
 
Halafu baada ya hapo taifa linapata katiba mpya, linamalizana na deni la dowans, mgao wa umeme unaisha ..etc etc ...au?

Bado naona nyota nyota Babu mwenzangu..au wewe mambo yako yameenda below 1947?

Tija kwa taifa ni wigo mpana babu. Vifo visivyotarajiwa vinavyosababishwa na ngono zembe vinapunguza rasilimali watu na vijana wenye nguvu kwa ujenzi wa taifa. Vijana wanapoteketea taifa linakosa watenda kazi imara, wanabaki watoto na sisi wazee.

Sasa sredi kama hii ambayo iko kwenye jukwaa la MMU ina tija kwa taifa kwa kuwa vijana wakiuzingatia wosia wa babu, watasalimika na taifa litajengwa nao.

Vijana wote semeni AMINA.
 
Kweli mwaka mpya na mambo mapya ,asante sana babu kwa wosia wako,Nimeamini ukubwa dawa

Halafu wewe una kesi kubwa sana ya kujibu. Sijui nikushtaki mahakama ipi...chagua mwenyewe.
 
Vere vere vere vere veeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeee true!
Naona huu mwaka 2011 una baraka za ajabu,unaanza vizuri.
 
Back
Top Bottom