Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

babu, wafanya nini maternity ward!??
 
Kaazi kweli!Mama Manka njoo tuombee mapensi yetu aisee!!Na mainfi mbona hujawapa mwongozo wa sala??Wasisahau kutanguliza maombi ili wasikamatwe ehhh?
 
Kaazi kweli!Mama Manka njoo tuombee mapensi yetu aisee!!Na mainfi mbona hujawapa mwongozo wa sala??Wasisahau kutanguliza maombi ili wasikamatwe ehhh?

Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?
 
Hahahaha! Mwaka mupya na mambo mapya....babu for wajukuuz!

Nahitaji kwenda nao mbinguni!

Hii imetulia, Ila Natamani niisikie sala ya ku du na house girl,
 
We mchakachuaji unabana kila kona....dah!

Anyway napenda sana weupe......

Sijaelewa kupenda weupe na alichosema Bigie kama vinalingana...
Au ni mimi ndio nina kichwa kigumu!!
 
Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?

Hapa mkuu mambo tayari, kuanzia sasa inabidi uangalie mipaka yako kwa Lizzy hivi hapa anasubili mida tu atue Zenji hapo
 
Ni kabaila...........kwa maelezo zaidi wasiliana nami.:A S-alert1:

Hahahaha...we unataka kumharibia dada ya watu maisha ake.... unataka azikose baraka za babu meku.

Babu for wajukuuz!
 
Kaazi kweli!Mama Manka njoo tuombee mapensi yetu aisee!!Na mainfi mbona hujawapa mwongozo wa sala??Wasisahau kutanguliza maombi ili wasikamatwe ehhh?

Jamani Lizzy, si babu amekataza mambo hayo mwaka huu, ama nimemsoma vibaya!??
 
Sijaelewa kupenda weupe na alichosema Bigie kama vinalingana...
Au ni mimi ndio nina kichwa kigumu!!

Yaani rangi kama ya huyo kwa avatar yako...usisahau am in love with your darling avatar!
 
Sijaelewa kupenda weupe na alichosema Bigie kama vinalingana...
Au ni mimi ndio nina kichwa kigumu!!
Asante kwa kulinda maslahi ya akupendae........luv is power.......unayempenda utamlinda bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…